WAMWENDEA YESU KWA KUSAFIWA

WAMWENDEA YESU KWA KUSAFIWA

Pst Timothy Kitui’s music is a rich blend of faith-centered storytelling, cultural heritage, and traditional instrumentation, created to inspire, uplift, and connect listeners to both spiritual truth and communal identity. Drawing on his background and lived experiences, his work uniquely bridges Christian gospel themes with Luhya cultural expression. Emotional with an rich African husk and harmonies,Male singer,Mixed Choir

00:00 / 00:00

Your friends are using AiMusic.la to generate music, listen to it! You can also generate your own music!

Lyrics

Yesu nomwayi wanje, Mulindi, omuruki weshalo Omwami wa abami Nyasaye wanje Omuhani wa toto Wamwendea Yesu kwa kusafiwa, Na kuoshwa kwa damu ya kondoo? Je, neema yake umemwagiwa? Umeoshwa kwa damu ya kondoo? Kuoshwa, kwa damu Itutakasayo ya kondoo; Ziwe safi nguo nyeupe mno; Umeoshwa kwa damu ya kondoo? Usinge, usinge, mumasai, mumasai Kalavitsa obwoni bwosi Isingwe ngubo yiyo chwe chwe chwe Isingwe mumasai keke Wamwandama daima Mkombozi Na kuoshwa kwa damu ya kondoo? Yako kwa Msulubiwa makazi, Umeoshwa kwa damu ya kondoo? Usinge, usinge, mumasai, mumasai Kalavitsa obwoni bwosi Isingwe ngubo yiyo chwe chwe chwe Isingwe mumasai keke Atakaporudi Bwana arusi Uwe safi kwa damu ya kondoo! Yafae kwenda Mbinguni mavazi Yafuliwe kwa damu ya kondoo? Usinge, usinge, mumasai, mumasai Kalavitsa obwoni bwosi Isingwe ngubo yiyo chwe chwe chwe Isingwe mumasai keke Yatupwe yalipo na takataka, Na uoshwe kwa damu ya kondoo Huoni kijito cha tiririka Na uoshwe kwa damu ya kondoo? Usinge, usinge, mumasai, mumasai Kalavitsa obwoni bwosi Isingwe ngubo yiyo chwe chwe chwe Isingwe mumasai keke Kuoshwa, kwa damu Itutakasayo ya kondoo; Ziwe safi nguo nyeupe mno; Umeoshwa kwa damu ya kondoo? Usinge, usinge, mumasai, mumasai Kalavitsa obwoni bwosi Isingwe ngubo yiyo chwe chwe chwe Isingwe mumasai keke Oh Yesu wa Kalivari Mwami wambonya mwyi waje, halelujah Halelujah, Amen Halelujah Amen