NATAKA NIMJUE YESU - Luhya

NATAKA NIMJUE YESU - Luhya

Pst Timothy Kitui’s music is a rich blend of faith-centered storytelling, cultural heritage, and traditional instrumentation, created to inspire, uplift, and connect listeners to both spiritual truth and communal identity. Drawing on his background and lived experiences, his work uniquely bridges Christian gospel themes with Luhya cultural expression. Emotional with an rich African husk and harmonies,Nostalgia,Nostalgic,Soulful and Lively Atmosphere,Emotional,Soulful,Male singer,Mixed Choir

00:00 / 00:00

Your friends are using AiMusic.la to generate music, listen to it! You can also generate your own music!

Lyrics

Omwami Yesu, Eh Papa, wanje Omwayi wanje, Nyasaye wanje. Ni imberi wuwo Mulwani wanje Nataka nimjue Yesu, na nizidi kumfahamu, nijue pendo lake, na wokovu wake kamili. Nataka nimjue Yesu, na nizidi kumfahamu, nijue pendo lake, na wokovu wake kamili. Omwami Yesu, Eh Papa, wanje Omwayi wanje, Nyasaye wanje. Ni imberi wuwo Mulwani wanje Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu, nijue pendo lake, na wokovu wake kamili. Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu, nijue pendo lake, na wokovu wake kamili. Omwami Yesu, Eh Papa, wanje Omwayi wanje, Nyasaye wanje. Ni imberi wuwo Mulwani wanje Nataka nione Yesu, na nizidi kusikia, anenapo kitabuni, kujidhihirisha kwangu. Nataka nione Yesu, na nizidi kusikia, anenapo kitabuni, kujidhihirisha kwangu. Omwami Yesu, Eh Papa, wanje Omwayi wanje, Nyasaye wanje. Ni imberi wuwo Mulwani wanje Nataka nifahamu, na nizidi kupambanua, mapenzi yake, nifanye yale yanayompendeza. Nataka nifahamu, na nizidi kupambanua, mapenzi yake, nifanye yale yanayompendeza. Omwami Yesu, Eh Papa, wanje Omwayi wanje, Nyasaye wanje. Ni imberi wuwo Mulwani wanje Hosana Nyasaye Amen Hosana Nyasaye Amen Halujah Nyasaye Amen Oh Yesu Nyasaye Amen Nyasaye Amen halelujah Hossana Nyasaye Amen Omwami amen Jehovah Hosana Nataka nikae naye, kwa mazungumzo zaidi, nizidi kuwaonyesha, wengine wokovu wake